Kikao cha Baraza la Madiwani cha kujadili Utekelezaji wa Miezi 9 July-March na Kuwasilisha Malengo na Makadirio ya Mapato na Matumizi kwa mwaka 2026/2027 kilichofanyika katika ukumbi wa Baraza la Manispaa Magharibi ‘A’.













Kikao cha Baraza la Madiwani cha kujadili Utekelezaji wa Miezi 9 July-March na Kuwasilisha Malengo na Makadirio ya Mapato na Matumizi kwa mwaka 2026/2027 kilichofanyika katika ukumbi wa Baraza la Manispaa Magharibi ‘A’.













Picha za matukio ya Kongamano la kuelekea miaka 62 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar lilofanyika katika Ukumbi wa Madinat Holl Kianga Wilaya ya Magharibi ‘A’ ambapo Mgeni Rasmi alikuwa Waziri wa TAMISEMIM, Mhe. Idrisa Kitwana Mustafa.




















Katika kuadhimisha miaka 62 ya Muungano wa Tanzania, Uongozi wa Baraza la Manispaa Magharibi ‘A’ kwa kushirikiana na viongozi mbali mbali wa Chama na Serikali walishiriki katika ziara ya Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Mhe. Hemed Suleiman Abdalla, kwa kukagua miradi ya maendeleo ikiwemo ujenzi wa nyumba za wazee Walezo, barabara ya Mwembe Mchomeke (Mtofaani), skuli na hospital katika Kambi ya KVZ Mtoni na jengo la Wakala wa Ulizi JKU Mtoni.
















Mkuu wa Wilaya ya Magharibi ‘A’ Mhe. Laila Burhan Ngozi akizungumza na Waheshimiwa Madiwani, Kamati ya Ulizi na Usalama ya Wilaya, Masheha, Wafanyakazi wa Wilaya wa Magharibi ‘A’ na Wafanyakazi wa Baraza la Manispaa Magharibi ‘A katika ukumbi wa Madinat Holl Kianga.

























Matukio ya mafunzo maalum ya kuwajengea uelewa Waheshimiwa Madiwani juu ya suala zima la majanga na maafa yalioandaliwa na Kamisheni ya Maafa Zanzibar yaliyofanyika katika ukumbi wa Baraza la Manispaa Magharibi ‘A’
Viongozi mbali mbali wa Chama na Serikali wakishiriki katika mapokezi ya Mkuu wa Wilaya ya Magharibi ‘A’ Mhe. Laila Burhan Ngozi katika Ofisi ya Mkuu wa Wilaya Magharibi ‘A’ Mwera.








Kaimu Mkuu wa Wilaya ya Magharibi ‘A’ Mhe. Rajab Simai Msaraka ambae pia ni Mkuu wa Wilaya ya Kaskazini ‘A’ akikabidhi Mwenge wa Uhuru Kitaifa kwa Mkuu wa Wilaya ya Magharibi ‘B’ Mhe. Amour Yussuf Mmanga.






Kaimu Mkuu wa Wilaya ya Mjini Rajab Ali Rajab ambae ni Mkuu wa Walaya ya Kati akikabidhi Mwenge wa Uhuru Kitaifa kwa Kaimu Mkuu wa Wilaya ya Magharibi ‘A’ Rashid Simai Msaraka ambae pia ni Mkuu wa Wilaya ya Kaskazini A na Viongozi mbali mbali wa Wilaya ya Magharibi ‘A’






Kaimu Mkuu wa Wilaya ya Magharibi ‘A’ ambae pia ni Mkuu wa Walaya ya Kaskazini A Rashid Simai Msaraka na Viongozi mbali mbali wa Chama na Serikali wakikimbiza Mwenge wa Uhuru Kitaifa


