Ziara ya kamati ya mradi wa kuibua vipaumbele vinavyotokana na mabadiliko ya Tabianchi (SCALE) kutoka Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ kwa k ...
Kamati ya kusimamia Viongozi wa Serikali ya Baraza la Wakilishi Zanzibar
Mwenyekiti wa kamati ya kusimamia Viongozi wa Serikali ya Baraza la Wakilishi Zanzibar Mh. Machano Othman Said akiongoza ujumbe wa kamati katika kupokea taarifa ya utejelezaji w ...
Mpango mkakati wa Baraza la Manispaa Magharibi ‘A’
Kikao cha uongozi wa Baraza la Manispaa Magharibi 'A' pamoja na wataalamu wa Tasisi ya Good Governance cha kupitia na kujadili mpango mkakati (STRATEGIC PLAN) wa Baraza la Manisp ...
Mikakati ya usafi kwa Mkoa Mjini Magharibi
Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Mh. Moh'd Ali Abdalla amevitaka vikundi vinanyosimamia usafi wa mji katika Wilaya ya Magharibi 'A' kuongeza kasi ya utendaji kazi ili lengo la utun ...
Ziara ya Kamati ya Fedha
Kamati ya Fedha na Mipango ya Baraza la Manispaa Magharibi 'A' ikiongezwa na Mstahiki Meya wa Baraza Mh. Chum Shuwar Machano, ikitembelea maeneo ya vyanzo vya mapato na maeneo yan ...
Kikao cha kuimarisha usafi
Mkurugenzi wa Manispaa Magharibi 'A' akiwa katika kikao cha pamoja na Masheha na vikundi vya usafi kujadili namna gani wanaweza kuimarisha usafi katika shehia zao kikao kilichofan ...
Uibuaji wa vipaombele vya athari zitokanazo na mabadiliko ya tabianchi
Vipaumbele wadi ya Mwera Vipaumbele wadi ya Mwera Vipaumbele wadi ya Mwera Vipaombele Wadi ya Bububu Vipaumbele wadi ya Kihinani Vipaumbele wadi ya ...
Maadhimisho ya Miaka 62 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar
Watendaji wa Baraza la Manispaa Magharibi 'A' kwa kushirikiana na Uongozi wa Wilaya ya Magharibi 'A' wakishiriki katika zoezi la upandaji wa miti katika Shehia ya Kizimbani na Bum ...