Ziara ya Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar

Katika kuadhimisha miaka 62 ya Muungano wa Tanzania, Uongozi wa Baraza la Manispaa Magharibi ‘A’ kwa kushirikiana na viongozi mbali mbali wa Chama na Serikali walishiriki katika ziara ya Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Mhe. Hemed Suleiman Abdalla, kwa kukagua miradi ya maendeleo ikiwemo ujenzi wa nyumba za wazee Walezo, barabara ya Mwembe Mchomeke (Mtofaani), skuli na hospital katika Kambi ya KVZ Mtoni na jengo la Wakala wa Ulizi JKU Mtoni.

Add a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *