Watendaji wa Baraza la Manispaa Magharibi ‘A’ kwa kushirikiana na Uongozi wa Wilaya ya Magharibi ‘A’ wakishiriki katika zoezi la upandaji wa miti katika Shehia ya Kizimbani na Bumbwisudi katika Maadhimisho ya Miaka 62 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar.









