Kikao cha kuimarisha usafi

Mkurugenzi wa Manispaa Magharibi ‘A’ akiwa katika kikao cha pamoja na Masheha na vikundi vya usafi kujadili namna gani wanaweza kuimarisha usafi katika shehia zao kikao kilichofanyika katika ukumbi wa Baraza la Manispaa Magharibi ‘A’.

Add a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *