Kamati ya kusimamia Viongozi wa Serikali ya Baraza la Wakilishi Zanzibar

Mwenyekiti wa kamati ya kusimamia Viongozi wa Serikali ya Baraza la Wakilishi Zanzibar Mh. Machano Othman Said akiongoza ujumbe wa kamati katika kupokea taarifa ya utejelezaji wa Baraza la Manispaa Magharibi ‘A’ kwa robo ya nne ya April -June 2025-2026 katika ukumbi wa Manispaa Kianga.

Add a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *