Baraza la Manispaa Magharibi 'A ' limepokea ugeni kutoka Halmashauri ya wilaya ya BAGAMOYO Kwa lengo la kujifunza Mambo mbali mbali yanayofanywa na kusimamiwa na Baraza la M ...
Kikao cha Baraza cha Utekelezaji kwa Kipindi 2025-2026
Waheshimiwa Madiwani wa Baraza la Manispaa Magharibi 'A' wakiwa katika kikao cha utekelezaji wa shughuli zilizopangwa kutekelezwa na Baraza hilo kwa kipindi cha mwaka wa fedha 202 ...
Ziara ya maeneo yaliyoibuliwa katika mradi wa Scale
Ziara ya kamati ya mradi wa kuibua vipaumbele vinavyotokana na mabadiliko ya Tabianchi (SCALE) kutoka Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ kwa k ...
Kamati ya kusimamia Viongozi wa Serikali ya Baraza la Wakilishi Zanzibar
Mwenyekiti wa kamati ya kusimamia Viongozi wa Serikali ya Baraza la Wakilishi Zanzibar Mh. Machano Othman Said akiongoza ujumbe wa kamati katika kupokea taarifa ya utejelezaji w ...
Mpango mkakati wa Baraza la Manispaa Magharibi ‘A’
Kikao cha uongozi wa Baraza la Manispaa Magharibi 'A' pamoja na wataalamu wa Tasisi ya Good Governance cha kupitia na kujadili mpango mkakati (STRATEGIC PLAN) wa Baraza la Manisp ...
Mikakati ya usafi kwa Mkoa Mjini Magharibi
Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Mh. Moh'd Ali Abdalla amevitaka vikundi vinanyosimamia usafi wa mji katika Wilaya ya Magharibi 'A' kuongeza kasi ya utendaji kazi ili lengo la utun ...
Ziara ya Kamati ya Fedha
Kamati ya Fedha na Mipango ya Baraza la Manispaa Magharibi 'A' ikiongezwa na Mstahiki Meya wa Baraza Mh. Chum Shuwar Machano, ikitembelea maeneo ya vyanzo vya mapato na maeneo yan ...
Kikao cha kuimarisha usafi
Mkurugenzi wa Manispaa Magharibi 'A' akiwa katika kikao cha pamoja na Masheha na vikundi vya usafi kujadili namna gani wanaweza kuimarisha usafi katika shehia zao kikao kilichofan ...
Uibuaji wa vipaombele vya athari zitokanazo na mabadiliko ya tabianchi
Vipaumbele wadi ya Mwera Vipaumbele wadi ya Mwera Vipaumbele wadi ya Mwera Vipaombele Wadi ya Bububu Vipaumbele wadi ya Kihinani Vipaumbele wadi ya ...