Mkurugenzi wa Baraza la Manispaa Magharibi ‘A’ MOHD SIMBA HASSAN ameongoza kikao cha kamati ya kitaalamu ya kukabiliana na Maafa ya Wilaya hiyo kilichofanyika katika ukumbi wa manispaa hiyo kianga.