Kikao cha Baraza cha Utekelezaji kwa Kipindi 2025-2026

Waheshimiwa Madiwani wa Baraza la Manispaa Magharibi ‘A’ wakiwa katika kikao cha utekelezaji wa shughuli zilizopangwa kutekelezwa na Baraza hilo kwa kipindi cha mwaka wa fedha 2025/2026 kilichofanyika katika ukumbi wa Manispaa Magharibi ‘A’ Kianga.

Add a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *