Baraza la Manispaa Magharibi ‘A’ limepokea ugeni kutoka Halmashauri ya Bagamoyo.

Baraza la Manispaa Magharibi ‘A ‘ limepokea ugeni kutoka Halmashauri ya wilaya ya BAGAMOYO Kwa lengo la kujifunza Mambo mbali mbali yanayofanywa na kusimamiwa na Baraza la Manispaa Magharibi A ikiwemo pamoja na masuala ya ukusanyaji wa mapato pamoja masuala ya uchumi wa buluu, hivyo ikiwemo na kudumusha ushirikiano mzuri kati ya Manispaa hizo mbili. Maeneo yaliyotembelewa ni pamoja na kituo cha daladala Mndo , diko la Ngalawa ,Soko la Chuini ,pamoja na diko la Bububu.

Add a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *