




Baraza la Manispaa Magharibi "A"
Baraza la Manispaa Magharibi “A” ni moja ya Manispaa ambayo ilianzishwa Chini ya kifungu cha 17 (1), (2) cha Sheria ya Mamlaka ya Serikali za Mitaa ya Nambari ya 7 ya 2014 mnamo 10/10/2016, na idadi ya wakazi 167,000. Manispaa hiyo inatokana na iliyokuwa halmshauri ya wilaya ya magharibi katika Mkoa wa Mjini Magharibi.
Maadhimisho ya Miaka 62 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar
Watendaji wa Baraza la Manispaa Magharibi 'A' kwa kushirikiana na Uongozi wa Wilaya ya Magharibi 'A' wakishiriki katika zoezi la upandaji wa miti katika Shehia ...
Jan 12
Mapinduzi ya Zanzibar
January 12, 2026 - January 12, 2026
12:00:am - 12:00:pm
Dec 09
Siku ya Uhuru
December 09, 2025 - December 09, 2025
12:00:am - 12:00:pm
Oct 14
Kumbukumbu ya Nyerere
October 14, 2025 - October 14, 2025
12:00:am - 12:00:pm
Apr 26
Sikukuu ya Muungano
April 26, 2025 - April 26 2025
12:00:am - 12:00:pm
Apr 07
Kumbukumbu ya Karume
April 07, 2025 - April 07 2025
12:00:am - 12:00:pm



