



KAMATI ya Huduma za Mipango Miji na Huduma za Jamii ya Baraza la Manispaa Magharibi ‘A’ imefanya ziara ya kikazi kwa ajili ya kukagua utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo, pamoja na kutoa maelekezo na ushauri kwa watendaji ili kuhakikisha miradi hiyo inatekelezwa kwa kuzingatia taratibu, weledi na maslahi ya wananchi na Manispaa