KAMATI YA HUDUMA ZA JAMII, AFYA NA MAZINGIRA YAKAGUA MIRADI YA MAENDELEO MAGHARIBI ‘A’

KAMATI ya Huduma za Jamii, Afya na Mazingira ya Baraza la Manispaa Magharibi ‘A’ imefanya ziara ya kikazi ya kutembelea na kukagua miradi mbalimbali ya maendeleo, kwa lengo la kutathmini hatua za utekelezaji wake, kubaini changamoto zinazowakabili wanufaika na kutoa maelekezo yatakayosaidia kuboresha huduma kwa wananchi.

Add a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *