KAMATI YA MIPANGO MIJI NA HUDUMA ZA JAMII YAKAGUA MIRADI YA MAENDELEO MAGHARIBI ‘A’

KAMATI ya Huduma za Mipango Miji na Huduma za Jamii ya Baraza la Manispaa Magharibi ‘A’ imefanya ziara ya kikazi kwa ajili ya kukagua utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo, pamoja na kutoa maelekezo na ushauri kwa watendaji ili kuhakikisha miradi hiyo inatekelezwa kwa kuzingatia taratibu, weledi na maslahi ya wananchi na Manispaa

Add a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *