Kikao cha uongozi wa Baraza la Manispaa Magharibi ‘A’ pamoja na wataalamu wa Tasisi ya Good Governance cha kupitia na kujadili mpango mkakati (STRATEGIC PLAN) wa Baraza la Manispaa Magharibi ‘A ‘ kwa kipindi cha 2025-2030 kilichofanyika katika ukumbi wa Manispaa hiyo Kianga



