Miradi mipya
Miradi mipya
Miradi mipya ya Baraza la Manispaa la Magharibi ‘A’
UJENZI WA KITUO CHA ABIRIA MOMBASA
Ujenzi wa kituo cha dala dala cha Mambosasa ni mradi mpya unaotarajiwa kutekelezwa chini ya Baraza la Manispaa Magharibi ‘A’. Mradi huu baada ya kukamilika utaondoa changamoto iliyokuwepo sasa ya kutokuwepo kwa kituo rasmi cha dala dala.
UJENZI WA KIWANJA CHA KUFURAHISHIA WATOTO
Ujenzi wa kituo cha kufurahishia watoto ni mradi mpya unaotarajiwa kutekelezwa chini ya Baraza la Manispaa Magharibi ‘A’. Mradi huu baada ya kukamilika utasaidia kukuza mapato ya Baraza la Manispaa Magharibi ‘A’.