Wasifu wa Mkurugenzi

Kuhusu Mkurugenzi

MOH'D SIMBA HASSAN.
Mkurugenzi wa Baraza la Manispaa Magharibi "A"

Moh'd Simba Hassani ni Mkurugenzi wa  nne wa Baraza la Manispaa Magharibi ''A'', ambae aliteuliwa siku ya tarehe 21 / 05 / 2025 na anaendelea kuhudumu mpaka sasa.

Katika uongozi wake amekuwa chachu kubwa ya ongezeko la ukusanyaji wa mapato katika Baraza  pamoja na kuimarisha usimamizi mzuri wa uzoaji wa taka katika maeneo yote ya Baraza la Manispaa Magharibi ''A''.