Wasifu wa Meya
Kuhusu Mstahiki Meya
CHUM SHUWARI MACHANO.
Mstahiki Meya wa Baraza la Manispaa Magharibi "A"
Chum Shuwari Machano ni Diwani wa Wadi ya Mtofaani kwa kuchaguliwa na wananchi na pia ni Mstahiki Meya wa tatu ( 3 ) wa Baraza la Manispaa Magharibi "A" tangu kuazishwa kwake na amehudumu kwa miongo miwili.
Katika kipindi cha miaka mitano iliyopita Mstahiki Meya aliweza kushinda kiti cha Meya wa Magharibi "A" kwa kishindo na kuendelea kikitetea kiti hicho katiki kipindi cha miaka kumi ( 10 )