Ufunguzi wa soko la chuini September 4, 2025 with no comment News and Events Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, alipozungumza akifungua rasmi Soko na Kituo cha Mabasi cha Kisasa Chuini, Wilaya ya Magharibi A, Mkoa wa Mjini Magharibi tarehe 4 Septemba 2025. Previous Post Ufunguzi wa kituo cha dala dala mndo Next Post Ufunguzi wa soko la chuini