Fursa za uwekezaji

Fursa za uwekezaji

Baraza la Manispaa ya Magharibi “A” limejikita zaidi katika biashara , hivyo limetenga maeneo maalamu ambayo mtu yoyote anaweza kuja na kuwekeza. Kuna miradi mbali mbali ambayo inalengwa kufanyika katika maeneo tofauti tofauti ya Manispaa ya Magharibi “A” nayo ni kama ifuatavyo :-

1) Maduka katika soko la kwanyanya

2) Mradi wa sheli

3) Kituo cha daladala mambosasa.

4) Uwanja wa kufurahishia watoto

5) Ukumbi wa mikutano ( Holi ) pamoja  na maduka katika eneo la kijichi.

6) Eneo la waanika madagaa ngalawa.