Mapokezi ya Mwenge wa Uhuru Kitaifa 2026

Kaimu Mkuu wa Wilaya ya Mjini Rajab Ali Rajab ambae ni Mkuu wa Walaya ya Kati  akikabidhi Mwenge wa Uhuru Kitaifa kwa Kaimu Mkuu wa Wilaya ya Magharibi ‘A’ Rashid Simai Msaraka ambae pia ni Mkuu wa Wilaya ya Kaskazini A na Viongozi mbali mbali wa Wilaya ya Magharibi ‘A’

Kaimu Mkuu wa Wilaya ya Magharibi  ‘A’ ambae pia ni Mkuu wa Walaya ya Kaskazini A  Rashid Simai Msaraka na Viongozi mbali mbali wa Chama na Serikali wakikimbiza Mwenge wa Uhuru Kitaifa

Add a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *