Huduma ya maji taka
Huduma ya maji taka
Baraza la Manispaa Magharibi “A” linatoa huduma ya maji taka kwa wananchi ya Baraza la Manispaa la Magharibi “A” na majirani wa Baraza la Manispaa la Magharibi “A”
Utaratibu wakupata huduma ya maji taka
- Kufika ofisi ya Baraza la Manispaa la Magharibi "A" au apige simu namba +255 776 227 902 au +255 773 662 979.
- Kulipia fedha ya ada kuanzia 150,000 /= shilingi.
- Ukaguzi wa eneo linalohitajika kutolewa huduma.
- Kupatiwa huduma ya maji taka.



